Awakenedgiant

I AM THE SON OF ZWANGENDABA.
"Mjumbe"
Hii ni jumuiya ya watu wanaopenda kujifunza, watu ambao wamechagua kuwa wanafunzi nje ya mipaka yao ya kidini, itikadi, imani na falsafa. Watu wanaoongozwa na upendo, kweli na uhuru.
Karibu katika safari ya uhuru, na njia ya kuliendea kusudi la kuwepo kwako.

Ukihitaji msaada, ushauri, na coaching fanya mawasiliano kupitia email
[email protected]


Beloved, you have come across this channel not by coincidence but by the Devine purpose.
The aim of this channel is to create a community of healed and loving people in Africa and Swahili speaking society.