Siri za Ufalme
Karibu kwenye channel ya Siri za Ufalme,
Hapa tunafunua ukweli wa Neno la Mungu kupitia hadithi za Biblia, ufafanuzi wa mistari mitakatifu, na mafundisho ya Injili kwa njia rahisi na ya kueleweka.
Lengo letu ni kukusaidia:
1. Kuelewa Biblia kwa njia ya simulizi za sauti.
2. Kugundua na kuzifahamu siri za ufalme wa Mungu
3. Kupata Neno la Mungu linalojenga, kufariji na kukuimarisha kiroho.
Jiunge nasi katika safari hii ya KIROHO-mahali ambapo imani inakua, akili inafunguliwa, na roho inaguswa.
Usisahau ku-subscribe ili upokee mafundisho mapya kila wakati. 🙏
“Bishop Gwajima: Mamlaka za Dunia na Mamlaka za Rohoni.
“Adamu & Eva, Part II: Kufukuzwa Edeni | Sababu na Siri za Mpango wa Mungu”.
Tambua Mamlaka Iliyopo Nyuma ya Kila Aliyesimama | Usishine Kupita Boss Wako
Ushindi wa Kiroho| Mafundisho na Bishop Gwajima
Bishop Gwajima: Sekta 5 Muhimu za Kuinua Tanzania | Kilimo Ndiyo Msingi wa Maendeleo
Bishop Gwajima: Kila Jambo na Wakati Wake | Magumu Yanakutengeneza, Aibu Itaondoka
Ujanja Unaofanya Ndoa Iwe na Amani: Mafundisho ya Bishop Gwajima.
Mshirika Mwaminifu sana ,Kumbe Mchawi | Ushuhuda na Mafundisho ya Bishop Gwajima.
Misingi ya Imani Huru: Mtegemee Mungu, Siyo Mtu | Mafundisho ya Eng. Balete
Jinsi ya Kumshinda Shetani: Shinda kwa Neno na Udhibiti Mawazo mabaya | Bishop Gwajima
Usimchukie Mtu: Huwezi Jua Anaweza Kukusaidia Siku Moja | Mafundisho ya Bishop Gwajima.
Bishop Gwajima alieleza Kisa cha kuishi Msikitini: Fundisho la Maisha.
Mambo 5 Aliyojifunza Kwa Baba yake wa Kiroho |Bishop Gwajima.
Rais Ruto Kwa Unyenyekevu: Aliwaongoza Waumini Kumwabudu Mungu Kwa Moyo wa Dhati”
Usipoteze muda na Asiyekupenda: Hamna kitu unaweza fanya asiyekupenda akupende.
Una Mthamini sana lakini anakuchukulia poa :Fanya hivi
Ukikosea ndoa maisha yameharibika :Kijana Jua unaye muoa .
Bishop Gwajima: Jinsi Tabia inavyoweza kukupush au kukuzuia
Bishop Gwajima Afichua Jinsi Wachawi Wanavyofunga Hatima za Watu kwa Uchawi.
Unabii wa Bishop Gwajima| Tanzania-2025
Uongozi wa Farao na Anguko Lake — Siri Kuu ya Uongozi Kutoka kwa Mungu @siri za ufalme
“Mambo 5 Ya Kuomba Kila Siku | Maombi Ya Asubuhi Yatakayokubadilishia Maisha”
Siri ya uumbaji Dunia| kabla ya yote hapo mwanzo
When They Doubt You… Let Your Results Answer 🔥
Kibali cha Malkia Esta 👑 | Malkia aliyekomboa Taifa Zima. #swahili Bible story.
Furaha Katika Maombi | Siri ya Amani ya Mungu
Linda Moyo Wako
Mwanamke aliyemuosha miguu YESU!| Manukato ghari sana#viral #love#motivation
Imani na Utii: Abrahamu Amtoa Mwanawe Isaka.
Tunda na siri : Adamu na Eva katika Bustani ya Edeni.