JAFARI MTI MKUU

Tv yetu nikwaajili ya kuelimisha umma kwa mambo mbalimbali ya dini pamoja na kuonyesha matukio yaajabu yanayofanywa na wachawi na waganga mushirikina sisi tunachambua na kueleza usahihi wake...ili tusitoke ktk AQIDAH sahihi ya Allah..Tunamuomba Allah atusimamie ktk hili tufikie lengo.. Kwenye mapungufu tusameheane sisi si wakamilifu.. Tusaidiane kusambaza jumbe zetu Allah atatulipa sote Aaamin...0713403775/ 0758396268