Imani Kuu
Imani Kuu ni chaneli inayokupasha habari njema zinazohusu Kanisa ambazo zinalenga kumjenga mtazamaji kiimani kupitia mahubiri ya Maaskofu, Mapadre, Mashemasi, Mafrateli, Makatekista, Masista na walimu.
Inakuletea simulizi mbalimbali za kukuimarisha kiroho, kiimani na kimaisha kama vile maisha ya watakatifu yanayotusukuma kutenda mema zaidi na kuchukia dhambi. Similizi hizi zinatupa nguvu ya kutokata tamaa, kuongeza bidii katika kumtafuta Mungu na kuwajibika katika kumtumikia Mungu.
Pia inakusogezea matukio mbalimbali kama Misa Takatifu, Ubatizo, Kipaimara, Ndoa, Upadrisho, Uimbaji na matukio mengine yahusuyo viongozi wa Kanisa.
Tafadhali Subscribe, Like, Comment na Share.
'KALANGA' Ngoma Inayovutia na Kupendwa sana | Asili yake Burundi
Huyo ni Mungu (Live Perfomance) #choir #CatholicChoir
Waamini wakipeleka shukrani mbele ya Maaskofu Misa Mavuno Jimbo Kuu Katolilla DSM
Papa Leo XIV 'Awavulia Kofia' Wachezaji Ngoma wa Lebanon
#Mix: Best 34 Catholic Swahili Advent (Majilio) Songs – 3 Hours Nonstop | 2025
Tunaleta Matoleo Yetu (Live Performance) #CatholicChoir
NYIMBO KATOLIKI - KRISTO MFALME
Hisia za Papa Leo XIV alipokuta Wakatoliki Wachache Uturuki
Papa Leo XIV alivyowasili Uturuki | Safari ya Kwanza ya Kitume
Papa Leo XIV Afanya Safari ya Kwanza ya Kitume Nchini Uturuki
Papa Leo XIV: "Msiiulize AI Kuwafanyia Kazi za Darasani"
#Mix: Nyimbo 34 Bora za Majilio 2025 – 3 Hours Non-Stop
#Mix: NYIMBO KATOLIKI 34 PENDWA ZA MAJILIO - 3 Hours Non Stop | 2025
#Mix: Nyimbo 12 Bora Kujivunia Imani Katoliki - 2 Hours Nonstop
Kwaya ya Mapadre Utaipenda! Hawashindwi kitu
Watendaji Wapya TEC Walivyokula Kiapo Mbele ya Maaskofu
Huyo ni Mungu - By Ray ufungo #CatholicChoir
Ngoma ya Kalanga kutoka Burundi Burudani yake usipime!
TEC: TUNALAANI HAYA MAUAJI YA KIKATILI NA YA KINYAMA
Ruwa'ichi: Adhabu ya Kuandamana Sio Kifo cha Risasi! | Misa Kuombea Waliouwawa Uchaguzi Mkuu 2025
KANISA KATOLIKI LALAANI MAUAJI UCHAGUZI MKUU 2025
Ruwa'ichi: Haki ni Msingi wa Lazima wa Amani | Misa Kuombea Waliouwawa Uchaguzi Mkuu 2025
Ruwa'ichi: Taifa Limejeruhiwa na Kupoteza Heshima | Misa Kuombea Waliouwawa Uchaguzi Mkuu 2025
#Mix: Top Latest Marian Swahili Hymns 2025 | 2 Hours Nonstop
#Mix: Nyimbo Mpya Bora za Bikira Maria (Vol. 03) - 1 Hour Nonstop | 2025
MIX NYIMBO KATOLIKI YESU MCHUNGAJI MWEMA
Padre Mpiga Kinanda na Mpiga Ngoma Walivyonogesha Misa | Geita
Mapadre Wakipiga Kinanda, Ngoma na Vifaa Vingine Kwenye Misa!
KWAYA ILIYOKAMILIKA YA MAPADRE | Jimbo Katoliki Geita