Uwezo wa Mwanamke Ministry
Huduma ya UWEZO WA MWANAMKE ikiongozwa na Mbeba maono Mwalimu Betty Zanny inapatikana Tabata Segerea, Dar es salaam. Huduma hii inasimamia neno kutoka kitabu cha Tito 2:3-5 Ikiwa na Lengo na Kauli mbiu ya "KUMTIA MWANAMKE AKILI, ILI NENO LA KRISTO LISITUKANWE"
Kwenye channel hii utapata mafundisho ya Neno la Mungu yatakayo kujenga wewe kama mwanamke kwenye ndoa yako, au binti kwenye nafasi uliyonayo. Mafundisho haya yanarekodiwa kutoka sehemu mbali mbali ambapo huduma hii ya Uwezo wa Mwanamke inafanya semina katika mikoa mbali mbali nchini Tanzania.
MAWASILIANO;
Tuma ujumbe wa kawaida au tuandikie message kupitia whatsapp endapo una ushuhuda au maombi kutokana na masomo tunayoendelea kufundisha kupitia channel hii.
Namba ya simu ni +255 769 556 663 (VODACOM)
#uwezowamwanamke #uwezo wa mwanamke #NenolaMungu #nguvuyamwanamke
MWL BETTY ZANNY
Kongwa 1
Mwl Teddy Kwilasa 2
Mwl Betty Zanny
MAOMBI UWEZO MNENAJI WA PILI
pastor martha MAOMBI UWEZO
JICHO LA MUNGU NDANI YA MWANAMKE - TUKUYU 2020
VIZUIZI VINAVYOZUIA UWEKEZAJI WA MUNGU NDANI YA MWANAMKE 3
MWANAMKE MCHA MUNGU ANAVYOKABILIANA NA MAZINGIRA YAKE 4 TABORA
VIZUIZI VINAVYOZUIA UWEKEZAJI WA MUNGU NDANI YA MWANAMKE
UWEKEZAJI ULIOPO NDANI YA MWANAMKE SEHEMU YA PILI | UWEZO WA MWANAMKE DAR ES SALAAM
SIRI YA KUJITOA KATIKA KUMTUMIKIA MUNGU
IJUE NGUVU YA BADILIKO ILIYOPO NDANI YAKO 2 MPWAPWA 2020
MFAHAMU MWANAMKE ANAYEWEZA KUIFUTA HISTORIA MBAYA 2 tukuyu
MWANAMKE ANAYEWEZA KUIFUTA HISTORIA 3
MFAHAMU MWANAMKE ANAYEWEZA KUIFUTA HISTORIA MBAYA
TAA ISIYOZIMIKA MAKAMBAKO
TABORA DAY 3
TABORA DAY 1 1
Semina ya Neno la Mungu Babati, Mwl Betty Zanny part 1
MJUE SANA MUNGU ILI UWE NA AMANI
ACHA KUISHI CHINI YA KIWANGO CHA NYOKA
Njoo tumlilie Mungu kwa habari ya Uzao wetu, Taifa na Kanisa. 23 - 25 Land mark Ubungo Riverside DSM
Ulipewa ajira kwa kuuza utu wako!! Sikiliza hii..
02. Mwanamke anayeweza kufuta historia katika familia yake.
01. Mwanamke anayeweza kufuta historia mbaya katika familia yake.
Utulivu na utii humpa kibali Binti kwenye maeneo mengi ya maisha yake.
Utulivu ndio silaha ya kwanza kwa mwanamke itakayo Mpeleka kwenye mafanikio ya kila jambo.
02. Mwanamke na Maombi, Mwanamke hawezi jitenganisha na maombi kamwe.
Mwanamke na maombi. Mwl. Betty Zanny.