RAJIKA ONLINE TV

Karibu katika channel yetu RAJIKA TV Online.

Channel hii inajihusisha na mambo mbalimbali kama ifuatavyo;
- Tunatoa huduma ya Tiba asili na Ushauri Kwa wenye maradhi mbalimbali.
- Tunauza Dawa za asili ( Dawa za Kisunnah) ndani na nje ya Nchi.
- Tunatoa Matibabu (Tiba) ya kuondoa Damu Chafu Mwilini (Hijama au Chuku) Kwa wanawake na Wanaume.
- Tunatoa Mafundisho ya Dini ya Kiislam.

Tunapatikana KIBAHA,Mkoa Wa PWANI, Nchini TANZANIA

Kwa MAWASIALIANO ZAIDI ;
Whatsapp: +255 714 141 403
: +255 767 141 403

KARIBUNI SANA NA MUNGU AWABARIKI