Mmunga ML TV

Hii ni TV inayokuletea Habari na Matukio mbali mbali yanayo jiri ulimwenguni.
Bila kusahau Michezo,Tamaduni, Mila na Desturi,Tamasha za makabila mbalimbali, Matangazo ya biashara, Maendeleo ya jamii, Miji na Vijiji ikiwemo Interview na watu mbalimbali.
Pia inaelimisha jamii jinsi ya kujiendeleza kimaisha na kudumisha amani na umoja na watu wote.
Usikose tafadhali ku SUBSCRIBE channel yetu MMUNGA ML TV.