MWIMBIENI BWANA ZABURI
Hii channel ni kwaajili ya Zaburi za Dominika . Pia tumeandaa nakala halisi ya Zaburi zote za Dominika. Whatsapp kwa Namba 0687751047 nakala ni bure. Tunapenda kila mmoja aimbe kwa uchaji na unyenyekevu mbele za Mungu.
Siku zake yeye, mtu mwenye haki atasitawi; Maajilio 2A
Nalifurahi waliponiambia, na twende nyumbani kwa Bwana; Kristo Mfalme C; Maajilio 1A
Bwana anakuja awahukumu.mataifa kwa haki; Dominika ya 33C
Ee Bwana, niamkapo nitashibishwa kwa sura yako; Dom 32C
Msaada wangu u katika Bwana; Dominika ya 29C
Msifuni Bwana, anayewakweza maskini; Dominika ya 25C
Nitaondoka, nitakwenda kwa baba yangu; Dominika ya 24C
Wewe, Bwana, umekuwa makao yetu kizazi baada ya kizazi; Dominika ya 23C
Ee Mungu, kwa wema wako uliwahifadhi walioonewa; Dominika ya 22C
Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili; Jumapili ya 21C
Ee Bwana, unisaidie hima; Dominika ya 20C
Siku ile niliyokuita uliniitikia; Dominika ya 17, mwaka C
Wewe, Mungu, Bwana wetu, jinsi lilivyo tukufu jina lako duniani mwote; Utatu Mtakatifu, C
Ee Mungu wangu, Mfalme, nitakutukuza, nitalihimidi jina lako; Dominika ya 5 ya Pasaka, C
Tu watu wake, na kondoo na malisho yake; Dominika ya 4 ya Pasaka, C
Ee Bwana, Mungu wangu, nalikulilia ukaniponya; Dominika ya 3 ya Pasaka, C
Siku hii ndiyo alioifanya Bwana; Jumapili ya Pasaka
Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu; Kwaresima 2C
Ee Bwana, uwe pamoja nami katika taabu zangu; Kwaresima 1C
Bwana amejaa huruma na neema; Dominika ya 7, mwaka C; Kwaresima 3C
Heri aliyemfanya Bwana kuwa tumaini lake; Dominika ya 6 ya mwaka C
Ee Bwana, mbele ya miungu nitakuimbia zaburi; Dominika ya 5, mwaka C
Ni nani Mfalme wa utukufu?; Kutolewa Bwana hekaluni
Roho ndiyo itiayo uzima; Dom ya 3, C
Bwana atawabariki watu wake kwa amani
Mungu na atufadhili na kutubariki; Sherehe ya Bikira Maria Mama wa Mungu
Heri kila mtu amchaye Bwana; Familia Takatifu
Miisho yote ya dunia imeuona wokovu wa Mungu wetu; Kuzaliwa Bwana
Ee Mungu uturudishe; Majilio 4C
Paza sauti, piga kelele; Dominika ya 3 ya Majilio, Mwaka c