KICHA TV
Phome No ;
0656485159 - Whatsapp+call+message
0768575525 - whatsup only
MOVIE RECAP
● ipo kwa lengo la kukupa ewe mtazamaji wake zile filamu bora na zenye stori nzuri za kuvutia kwa muda wa dakika chache tu ili kuokoa muda wako wewe mtazamaji kwa lugha ya fasaha ya KISWAHILI.
● Mfano: Romance, horror,Action, Thriller, Drama, Fantasy na Scientific.
● Usisahau ku-subscribe kwenye channel hii ambayo inayapa macho yako haki yake ya msingi kabisa.
● We Make Videos To Influence People To Watch These Movies Which Are Truly Hidden Gems To Entertain People in short period of time
● This Videos Is All About Explaining The Movie From Our Own Point Of View.
ANAPATA MIMBA BILA KUFANYA MAPENZI NDANI YA NYUMBA ZA MAPADRI NA MASISTA ( WATAWA)
KAMPUNI INAZALISHA BIDHAA ZA KUWA KIJANA LAKINI ZINALETA SHIDA BAADAE
ANATUMIA MAITI KUMTENGENEZA BINADAMU KAMILI, ANAFANIKIWA LAKINI ANAJUTA BAADAE
WANAPISHANA MAWAZO JUU YA KUWA HURU KATIKA MAAMUZI
MTOTO KUTOKA KUZIMU JEHANAMU BAADAE ANAOKOA DUNIA DHIDI YA VIUMBE HATARI
ROBOTI WAMEWEKEWA UFAHAMU KIASI KWAMBA WANAWEZA KUFANYA MAAMUZI WENYEWE BILA USIMAMIZI
ANARUDI NYUMA YA MUDA ILI KUWEKA UKWELI WA KIFO CHA MAMA YAKE DHIDI YA BABA YAKE MAHAKAMANI
ANAMTAFUTA DADA YAKE KWA KUTUMIA UCHAWI
ANAGEUKA KUWA KATILI BAADA YA KUFICHWA UKWELI
KICHWA CHA KICHAWI KINACHOKULA WATU-- KINAUNGANA NA SHUJAA KUTOKOMEZA UCHAWI
WALIVYOPAMBANA KUOKOA MAISHA YAO LAKINI GHARAMA ILIKUWA KUBWA SANA
UNYWAJI WA POMBA UNASABABISHA UHARIBIFU WA MJI ANAPOENDA KUWASAIDIA WATU, WANAMCHUKIA
ANAKUWA SHUJAA BAADA YA KUNYWA KITU KIGENI KUTOKA ANGANI
AJALI YA NDEGE INAMPA NGUVU ZA AJABU KUTOKA KATIKA INJINI YA NDEGE HIYO
SHUJAA MTEULE ANAE UNGANISHA ULIMWENGU WA BAHARI NA NCHI KAVU
WALIMDHALILISHA MBELE YA MPENZI WAKE... BILA KUTAMBUA ANA NGUVU ZA KIMAJABU.
KIAPO CHA DAMU KINAVUNJIKA AMBACHO NI KIUNGANISHI CHA URAFIKI MILELE
ANAGUNDUA FILIMBI YA KICHAWI INAYOMPA NGUVU LAKINI INAMPELEKA KATIKA ULIMWENGU WA AJABU
MDOLI UNAWEKEWA AI (AKILI BANDIA) BAADAE UNAKUWA HURU NA KUASI
ANAFUFULIWA KUJA KULIPIZA KISASI JUU YA UKOO WA MFALME WA LAANA
ANAPATA PETE KUTOKA KWA KIUMBE WA ANGANI NA ANAKUWA SHUJAA LAKINI INALETA SHIDA BAADAE...
KIJANA ANAJIFUNZA UCHAWI WA GIZA NA ANAUNDA JESHI ILI KUITAWALA DUNIA
ANAINGIA KATIKA JIJI LA UFICHO WA UCHAWI NA BAADAE AKAPATA MISUKOSUKO JUU YAO
DAWA YA AJABU INAYOKUPA NGUVU ZA AJABU LAKINI ITAKUGHARIMU KITU KUTOKA KATIKA MWILI WAKO.
ANAPEWA MITIHANI NA MIUNGU YAKE SABABU YA MAJIVUNO JUU YA UWEZO WAKE KIAKILI | ODDYSIUS
ANAKUJA KUOKOA UKOO WAKE BAADA YA MIAKA 100
BABA ANAPATA NGUVU ZA AJABU NA KUMSAIDIA MWANAE KATIKA CHANGAMOTO DHIDI YA TAJIRI
KUJIAMINI KWAKE KUNA MPA AJIRA KITENGO CHA SIRI
MOJA YA MUUNGU ANASALITI MIUNGU WENZSKE KISA MADARAKA , KISHA HICHI KINATOKEA
TAPELI KUWA MKOMBOZI KATIKA ULIMWENGU MWINGINE KAWA SHUJAA : TAZAMA