Mwl. Teddy E.M Kwilasa

Victory Ministry Tanzania (VMT)
Ni huduma ya Neno la Mungu iliyopo Dar Es Salaam,Tanzania.
Huduma hii inaongozwa na Neno kutoka kitabu cha 3 Yohana 1:2... ufanikiwe katika mambo yote....

Lengo kuu la Huduma ni kueneza Injili ya Bwana Yesu Kristo kwa watu wote.

Victory Ministry Tanzania (VMT)
P. O. Box 33694, Dar Es Salaam, Tanzania
Simu:
(+255 715 321 601)
Email:
[email protected]