Mkulima Market

Mkulima Market ni fursa ya kuonesha na kuuza bidhaa za kilimo, ufugaji na uvuvi kupitia masoko ya wazi pamoja na teknolojia ya mawasiliano.