JIMBO KATOLIKI IRINGA ONLINE TV

Chaneli hii itakusaidia wewe mtazamaji wetu kujua Kile ambacho kinafanyika katika la Iringa na nje ya Jimbo la Iringa, tunakuomba usiache kufuatilia ili uweze kunufaika na Imani yetu ya Kanisa Katoliki la Mitume lililo moja tu, mafundisho mbalimbali pia utayapata kutoka hapa.
Mungu akubariki sana katika kueneza habari njema ya Bwana wetu Yesu Kristo.