leza tv canada

Karibu kwenye Leza TV Canada!
Hapa tunakuletea video halisi kuhusu maisha ya kila siku nchini Canada, changamoto na mafanikio ya wahamiaji, pamoja na njia halali za kuhamia au kupata kazi Canada kutoka Afrika Mashariki.

🇨🇦 Life in Canada | 🧳 Immigration Advice | 👷 Job Opportunities

We create original videos about real life in Canada as immigrants. We guide East Africans—especially from Congo, Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, and Burundi—on how to legally immigrate or find jobs in Canada.

🔔 Subscribe to learn, prepare, and succeed in your Canadian journey!

📍 Based in Canada | 🎥 Videos in Swahili & English

⚠️ TAFADHALI KUMBUKA:
Sitoi ushauri rasmi wa uhamiaji. Maelezo kwenye channel hii yanatokana na uzoefu wangu binafsi na utafiti wangu. Kwa msaada wa kitaalamu, tafadhali wasiliana na immigration consultant aliyesajiliwa.