Ngwair
Albert Kenneth Mangweha a.k.a Ngwair, ni msanii wa mitindo huru, rapa na mtunzi. Wimbo wake wa kwanza ulirekodi mapema mwaka 2003 uliojulikana kwa jina la Ghetto Langu ambao ilitengenezwa na mtaarishaji wa muziki P Funk. Albamu yake ya kwanza kabisa ya A.K.A Mimi ilikuwa albamu iliyouzwa zaidi nchini Tanzania ambayo ilikuwa na umaarufu mkubwa.