KWAYA YA MT. THOMAS WA AKWINO (LIGULA-MTWARA).

Kwaya ya Mtakatifu THOMAS WA AKWINO (KMT).
Zamani ilijulikana kwa jina la kwaya ya Mtakatifu YUDA THADEI inayotoa huduma za kuinjilisha katika Kigango cha Mtakatifu LUKA MWINJILI- LIGULA MTWARA, Parokia ya Watakatifu PETRO NA PAULO- SHANGANI WEST- MTWARA.
Wasiliana nasi/Contact us through;
Email: [email protected]
Contacts: 0626807016
: 0759885709