#E 7Pass TV
🎬 KARIBU #E 7PASS! 🎬
Mwaka 2023, ELIAS PIUS NONGA, anayejulikana pia kama DJ elly / Vortex Star, alianzisha #e 7pass kwa lengo la kuwaletea mashabiki wa filamu muhtasari wa hadithi kali na zenye msisimko.ilianza kama e 7box stories na hatimaye kuzaliwa kwa #e 7pass TV, jukwaa bora la recap za filamu kutoka Nollywood, filamu za Kiafrika, na nyinginezo zinazovutia.
CREDITS TO CONCEPT CREATORS
#eddiewatson #MichaelDapaah#movie #LilianAfegbai
#comedy #RuthKadiri247#latestnollywoodmovies2025 #ruthkadirimovies #movie #Nollywood #NaijaMovies #NaijaFilms #billionaire
#LatestNollywoodMovies2025 #NewNollywoodMovies2025 #NollywoodBlockbuster #BestNollywoodMovies
📍 Studio Yetu iko Morogoro, Tanzania, na hapa ndipo tunapounda maudhui bora kwa ajili yako!
📩 Wasiliana Nasi:
📌 Email: [email protected] ✉️
📌 Simu/WhatsApp: +225 686 243 392 📲
📌 YouTube: [#e 7pass]
🔥 Usikose! Bonyeza Subscribe na washa 🔔 upate video mpya kila wiki!
HATAKI RAFIKI ZAKE WAJUE AMEOLEWA NA MWANAUME MFUPI KISA PESA , INASIKITISHA ANAVYO MTESA MUME WAKE
MASIKINI HUYU MAMA WIVU WA MAPENZI UMEMFANYA ANAENDA JELA KWA KESI YA MAUAJI .
HUYU DEM NI BALAA! ANAPIGA NA WANAUME NA KUWASHINDA
KUTANA NA MDADA MWENYE PEPO LA NGONO ,ANAWAVURUGA WENZAKE WAKIWA WANASALI.MAPENZI LIVE
MDADA MWENYE BALAA ZITO! ANASA KWENYE HIKI KISIWA CHA AJABU BAADA YA MELI KUPATA AJALI,. MAUMIVU
JAMAA ANAJIKUTA NJIA PANDA MKE ANALEJEA ALIYE SEMEKANA AMEFARIKI MIAKA 2 ILIYOPITA INAUMIZA SANA
HUYU MDADA ANA BALAA ZITO! FATHER KAONA UTUPU WA HUYU MDADA NA KUINGIWA NA TAMAA YA KUTAKA PENZI
FINAL JAMAA WANAVAMIA KIJIJI KILICHOJIFICHA MSITUNI CHENYE UTAJIRI WA MALI ILA KILICHOWAKUTA NI HIKI
JAMAA WANAVAMIA HIKI KIJIJI CHENYE UTAJIRI WA MALI ILA WALICHOFANYIWA NA JESHI HILI LA WANAWAKE DUH
PART 1 JAMAA ANASWA KWENYE KISIWA CHA WANAWAKE MASHUJAA NA KULAZIMISHWA KUFANYA NAO MAPENZI
INASIKITISHA SANA MTOTO MDOGO KUMUUA MAMA YAKE MZAZI
JAMAA KACHUKUA MALA*Y* AMTAANI KAMPELEKA KWAKE ALICHOMFANYIA KITAKUSITISHA SANA
HUYU MDADA ANA BALAA ZITO ANAINGIA VITANI ILI KUMUOKOA MPENZI WAKE, MAPENZI HADI JESHINI.
MAPENZI YA MSICHANA WA KAZI NA MTOTO WA BOSS! HIKI NDICHO KILICHOWATOKEA BAADA YA WAZAZI KUFAHAMU
ALIFIKIRIA MTOTO WAKE ATAUNGANA NAE KULIPA KISASI MWISHO ANAJIKUTA AKIMUUA MAJUTO BAADAE.
NILIMBEBESHA MIMBA MWANAMKE AMBAYE ANAWEZA KUWA BIBI YANGU
ALIDHARAU WAZAZI WAKE KWA SABABU WALIKUWA WAKULIMA, LAKINI MAISHA YAKAMPA SOMO KUBWA
HUYU MWANAFUNZI ANACHUKUA KISASI KIBAYA ZAIDI KWA SABABU WALIMMALIZA MAMA YAKE
JIMAMA TAJIRI APAGAWA NA MPENZI WA BINTI YAKE WA MIAKA 17.
JIMAMA MWENYE MIAKA 45 AMPENDA RAFIKI WA MWANAE BILA KUTARAJIA KILICHOTOKEA
BALAA! LA SISITA ANAPASWA KUCHAGUA KATI YA IMANI YAKE NA MAPENZI YA MWANAUME
JAMAA ANAKULA MALI YA KIONGOZI WAKE AKIAMINI ANA MLIPIZIA KISASI ONA KILICHO MTOKEA
MREMBO WA CHUO AMENASA KWENYE PENZI ZITO LA HUYU MWAMBA BILA KUJUA NI MTOTO WA SUGAR DADY WAKE.
WAREMBO WANAINGIA KWENYE MSALAA MZITO KISA WIVU WA MAPENZI ONA WALICHOMFANYA HUYU JAMAA
UNAMPENDA MTU MWISHONI ANAKUJA KUKUFANYIA HAYA KWELI! ●JAMAA ANAMUACHA MREMBO KWA MAUMIVU MAKALI
MSICHANA ANAEBADILIKA NA KUWA PAKA,ANAENDA KUSOMA CHUO CHA MBALI ILI KUEPUKA MACHO YA WANADAMU.
MTOTO WA AJABU ANAINGIA VITANI KUMTAFUTA NDUGU YAKE ALIYE POTEA WATU WANASHANGA UWEZO WA HUYU DOGO
MALIKIA HATARI WA BAHARI WHITE MOTHER ANAKUJA DUNIANI KUMSAIDIA BINTI YAKE ALIYE CHEKI BALAA LAKE.
MASIKINI HUYU MDADA WA KAZI NI MJAMZITO KAPEWA NA BOSS WAKE ,MOTHER HOUSE KAGUNDUA HATIMA NI CHUNGU
ANATOKA JESHINI NA KUKUTA MAMA YAKE ANAFANYIWA HAYA NA MKE WA KAKA YAKE KILICHOTOKEA.