PAPA PETER. TZ.
Naitwa Papa peter muimbaji wa nyimbo za injili napatikana Dar esalaam Tanzania namshukuru Mungu kwa huduma hii aliyo nipa nimuimbie mjini na vijijini naomba sapoti yako mwana wa Mungu na utabarikiwa sana.
Call.+255757303884
UWEZA WA MUNGU HAPA ULISHUKA
UWEPO WA MUNGU ULISHUKA HADI ASKOFU AKAJIUNGA
BABA acha
Unateseka na ndoa yako unaugua ndani kwa ndani YESU KRISTO yupo
MOYO ULIOCHANGAMKA NI DAWA
SHIDA HIZI ZIMEWAPOTEZA WENGI NDUGU ZANGU
Ona alichofanya huyu mtumishi kwenye mkutano
DUNIA INAMAMBO MENGI
Shuhudia mtu huyu watu walitokwa machozi akihudumu
MUNGU ATATENDA🙏
ACHA TUIMBE 🎉
USIOGOPE KUTISHA KWAO
WAMEBAKI WANALIA
Hatima yangu nami aijuwae
ONA VIKONGWE WANALIA
NENO LAKO NDIO UZIMA
Maisha yako yameumizwa na watu unaowapenda
Na mimi nibariki
USINIACHE MUNGU
Ijulikane leo
huu ni wimbo mzuri wenye ujumbe MUNGU WANGU UKO WAPI
Inasikitisha yaliyomkuta huyu baba lipo tumaini
ATUKUZWE MUNGU BARAKA ZAKE HAZINA MWISHO
Acha tuimbe
NANI APINGE
Napata shida kuona namna walivyomtendea huyu mtumishi hakika LIPO TUMAINI UKINGOJA
YESU ingilia kati tunaomba msaada wako hawa wanadamu ni hatari
YESU NI UZIMA
TUKIOMBA KAMA ELIA MAJIBU YATAPATIKANA sikiliza wimbo huu naimani utabarikiwa