Kwaya ya Familia Takatifu Tunduma

Kwaya Ya Familia Takatifu Tunduma ni Kwaya ya Kikatoliki inayopatikana katika Parokia Ya Tunduma,Jimbo Katoliki Sumbawanga.Wanainjilisha Kumtangaza Kristu Kwa uimbaji.Mungu akubariki Sana ,ubarikiwe Kwa Mziki Mzuri!!!!