Tiba Facts online Tv

Karibu sana katika Chanel hii ya Tiba Facts online Tv, Katika chanel hii utajifunza Elimu ya tiba kupitia QUR'AN TUKUFU MITISHAMBA,MATUNDA,MAJINA 28 YA BARHATIH,NA ELIMU YA ABJAD.

KANUNI NA MUONGOZO
Muongozo kwa wafuatiliaji (subscribers) wetu
1. Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake
2. TIBA FACTS ONLINE TV ina uhuru wa kufuta maoni yasiyo na maadili au yenye matusi au maneno makali
3. TIBA FACTS ONLINE TV ina uhuru wa kupitia maoni kabla hayajaonekana na watu wote.
4. TIBA FACTS ONLINE TV ina uhuru wa kumzuia mfuatiliaji aliyekiuka masharti asiweze kuona habari zetu au kuweza kuweka maoni.
5.Maoni au matamshi ya mfuatiliaji wetu (Subscriber) sio msimamo wetu kama chombo cha Habari. Hivyo TIBA FACTS ONLINE TV haitowajibika kutokana na Maoni ya Wafuatiliaji wetu.
6.Maelezo yote kwenye tovuti hii ni kwa ajili ya elimu tu na hayaondoi uwepo wa daktari, hospitali au dawa.