Mswax Info

* Mswax Info ni Jukwaa la Maarifa

Hili ni jukwaa la *kubadilishana taarifa muhimu* kama vile:
✅ *Nafasi za kazi
✅ *Ushauri wa biashara
✅ *Elimu na ujuzi mbalimbali

* Tafadhali fahamu:
*Hatuunganishi watu kupata ajira moja kwa moja.
Kazi yetu ni kusogeza fursa kutoka vyanzo vya kuaminika ili wewe mwenyewe uzifuatilie kwa uelewa na uwazi.

— Mswax Info
Maarifa ni Ufunguo