KANISA TAKATIFU LA YESU KRISTO-CHAMAZI

CONTACT NO +255 656 428 442
1 Petro 1:15
"bali kama yeye aliyewaita alivyo mtakatifu, ninyi nanyi iweni watakatifu katika mwenendo wenu wote; "

Msingi wetu ni Neno la Mungu la kweli, Ukweli Lazima uhubiriwe hata kama unaumiza.

Tunapaswa kuliishi Neno la Mungu na si mapokeo.

Subscribe Channel hii Ili Usikose Neno la Mungu pia share Kwa wingi Ili na wengine wajifunze.

MAWASILIANO 0656 428442
Whasup 0656428442

BWANA YESU AZIDI KUWABARIKI SANA