HNT Media

Karibu katika chanel yetu ujipatie unchambuzi na taarifa za michezo na burudani zenye uhakikana za kweli kabisa kutoka ndani ya Tanzania na nje ya mipaka ya Tanzania 🇹🇿

hapa utapata tetesi za sajili kutoka kwa mastaa wako pendwa barani Africa na na duniani kote .

Lengo ni kuelimisha na kubuludisha wala si kupotosha
🚫: hatutoi habari za kuchonganisha wala kutukana sekita,taasisi,selika tukufu ya Tanzania 🇹🇿

Kwa matangazo tutafute email #[email protected]

Usisahau kusubscribe,like,comment na kushare