Kwizera TV

Karibu katika ukurasa wetu wa YouTube wa KWIZERA TV @KwizeraTVTanzania (Radio Kwizera Ngara Kagera Tanzania) utazame habari, matukio, makala, vipindi na taarifa mbalimbali kutoka kila kona ya Dunia.

Radio Kwizera iliyoko wilaya ya Ngara mkoa wa Kagera nchini Tanzania, imeihudumia jamii yenye wasikilizaji zaidi ya milioni 10.3 kwa zaidi ya miaka 30 huku ikiwa na timu yenye uzoefu katika kada ya habari.

Kwa kuzingatia hilo hujachelewa SUBSCRIBE, LIKE na SHARE @KwizeraTVTanzania