TANZANIA GOSSIP


MUONGOZO WA CHANNEL YA INSIGHT TZ.

INSIGHS MEDIA inakupa updates za burudani na
zinazotrend masaa 24 kuwahusu watu maarufu kwenye
burudani ya Tanzania na kugusia nchi jirani.
Sisi kama INSIGHS MEDIA kwasababu tunawafikia
watanzania wengi hivyo tunazingatia misingi ya uhariri kwa
kufuata:-
-Kuripoti Habari kwa kutoa fursa sawa pande zote.
-Kuepuka uchochezi kwa kujiepusha na udini, uteam, ukabila na
mambo yote yanayoweza chochea uchochezi.
-Kuripoti habari za kweli
kurekebisha taarifa zilizopotoshwa kwa wafuatiliaji wetu
(subscribers na unsubcribers)
Lakini pia kwa Walio subscribe channel yetu
-sisi kama INSIGHTS MEDIA
huwa tunafuata maoni ya
Subscribers wetu hivyo kila mtu ana haki ya kutupa maonii
yake na yakafanyiwa kazi.
-lakini pia kwa wale wachochezi kupitia channel yetu ambao
wao hutumia comments kwenye habari zetu tuna uwezo wa
kuwaondoa ili kuzuia uchochezi.