IBRAHIM RAHBY

📡 KARIBU KWENYE RAHBY DIGITAL
Habari. Uchambuzi. Maarifa. Uhalisia.

Channel hii inamilikiwa na kuendeshwa na Ibrahim Rahby – mchambuzi mahiri wa siasa za kimataifa.
Hapa tunakuletea:

🌍 Habari na matukio ya kimataifa
🧠 Makala maalum na uchambuzi wa kina
⚽ Habari za michezo
📰 Jamii, teknolojia, na maendeleo ya kisasa

🎯 Tunatoa pia nafasi kwa matangazo ya biashara halali tu – hatutangazi pombe, kamari wala bidhaa zinazokiuka maadili.

📬 Wasiliana nasi kwa matangazo au ushirikiano:
📧 Email: [email protected]
📞 Simu: +255 654 467 177 / 0672 476 301

🔔 Jiunge nasi leo na uwe karibu na dunia kupitia macho ya uhalisia.
#RahbyDigital #HabariZaKimataifa #Uchambuzi #Teknolojia #MichezoNaJamii