Rubaba Tv

Karibu Rubaba TV
Chanzo chako cha kuaminika cha elimu na maarifa kuhusu kilimo, ufugaji kibiashara, na maudhui ya kijamii. Tunalenga kutoa maudhui muhimu yanayohusu kilimo na ufugaji kwa njia ya kisasa na kibiashara, tukielimisha wakulima na wafugaji kuhusu mbinu bora za kuongeza tija na faida kwenye mashamba na mifugo yao.

Pia, Rubaba TV inashughulikia masuala ya kijamii na kiuchunguzi, ambapo tunajadili changamoto na fursa zinazohusu jamii yetu, tukiangazia masuala kama elimu, afya, utawala bora, na maendeleo ya kijamii kwa ujumla. Tunatumia jukwaa letu kutoa taarifa za kina, uchambuzi, na maoni kuhusu mambo yanayojiri katika jamii yetu, tukilenga kutoa mwanga kwa watu na kusaidia kuleta mabadiliko chanya.

Kwa maswali, maoni, na ushauri, tafadhali wasiliana nasi kupitia:
📞 0764 148221 / 0679 148221
📧 [email protected]