JIMBO KWA JIMBO

Jimbo kwa Jimbo ni kipindi maalumu kinachoelezea na kuonesha maendeleo, changamoto na fursa zilizopo katika kila jimbo la Tanzania.
Katika vipindi hivi utashuhudia:
✅ Maisha ya wananchi wa jimbo husika
✅ Miradi ya maendeleo na uwekezaji
✅ Utamaduni, michezo na shughuli za kijamii
✅ Viongozi na nafasi yao katika maendeleo ya jimbo