Glady Safari Channel

Kwa majina mimi ninaitwa Gladness Douglas, ninakukaribisha kwenye Glady Safari Channel ambapo mimi na wewe tutakuwa na safari mbalimbali kifikra kwenye maeneo yafuatayo: Elimu ya Malezi ya Watoto, Mahusiano Bora katika Ndoa, Mapishi bora, na mafunzo mbalimbali ya kimaisha kama kujifunza kupitia Kuwainterview watu mbalimbali, Ziara za nyumba bora na maeneo mbalimbali yenye umuhimu wa kipekee.

Ili tuendelee kuwa pamoja usisahau ku Like, Ku Comment na Ku Subscribe kila uonapo video yangu. Karibu sana tujenge familia hii ya kujiendeleza kwa manufaa yetu na jamii zetu.