Mch Lukas John
Wanao kutegea mitego ni rafiki zako.
Hata kama mpo mapacha bado unanafasi yako.
Hata rafiki umchunguze sikiliza 😱😱
Itafute nafasi yako
Uwezo wa imani kushindana na mabaya
Chanzo cha imani ni kusikia.
Sikiliza hii😄😄
Mtu amwendeye Bwana na aamini kua yupo.
Somo; uwezo wa kujenga imani inayoweza kupambana
Ushuhuda wa matendo makuu ya Mungu
Yesu mwana wa Mungu ndiye kimbilio
Kwa kupigwa kwa Bwana yesu sisi tumepona.😀😀
Yesu ametufanya kua wake.😀😀
Dhabi inaua, msikilize mhubiri🫢🫢
Mahubiri kuhusu Dhabi, Ni mbaya!!!😨😨
Fundisho la ndoa, Mwanamme ni mkombozi.👫👨❤️👨
Tazama hadi mwisho
4 November 2025
Karibu katika ibaada zetu 0752923263
Kwaya nzuri inayopatika Kahama Masaki.
Mungu anafungua watu
Sikiliza hadi mwisho
Mungu anatenda muujiza hata sasa, mtu aliliyeparalaizi leo anatembea🤩🤩🔥🔥
Data huyu aliparalaizi, katika ibaada maombezi Mungu amemfungua
Kwaya nzuri zipo kanisa la YESU NI LANGO LA UZIMA,
YE.L.T KAHAMA