Gumzo la Ghassani
This is an official YouTube channel of the Swahili poet and multimedia journalist, Mohammed Ghassani.
TAHARIRI 3 | MWIZI WA KURA NI MUHALIFU SI MUHISHIMIWA
OMO mazikoni Gamba leo | GUMZO UPDATES
Wasira aiambia DW: Sijaona maandamano, bali machafuko | GUMZO LA LEO
Likupatapo patana nalo | TAHARIRI YA GUMZO
Majanga ya jimbo la Pangawe | KILICHOJIRI OKTOBA
OMO Challenge: Itisha uchaguzi halali, ukipata 30% tu nakutambua mshindi | GUMZO LA LEO
Zanzibar haistahiki kukifanya kipindi cha uchaguzi kuwa cha roho juu | GUMZO LA LEO
Walioibiwa furahani, wezi taabani - HELWA OMO HELWA
Ufirauni uliofanyika Mjini Magharibi Oktoba 28, 29 | KILICHOJIRI OKTOBA
Baraza la Wawakilishi ni ngome ya wananchi, sio ngome ya kulinda wezi- OMO | GUMZO LA LEO
Kufuru ya Kusini Unguja ndiyo hii | KILICHOJIRI OKTOBA
Yetu ni mapambano ya haki na hatutarudi nyuma - OMO | GUMZO LA LEO
Muangalizi wa uchaguzi aiambia ZEC waziwazi madudu waliyoyafanya | KILICHOJIRI OKTOBA
Badala ya kuwafundisha maadili, CCM inawafundisha watoto wetu wizi - OMO | GUMZO LA LEO
CHADEMA, ACT waungana kuikataa Tume ya Samia | GUMZO LA LEO
Walitwambia tugawane majimbo au wangeyachukuwa yote, tukawaambia yachukuweni - OMO | GUMZO LA LEO
Mchafukoge vituoni - Kusini hadi Kaskazini Unguja | YALIYOJIRI OKTOBA
ACT yaipinga Tume ya Samia kuchunguza ya Oktoba 2025 | GUMZO LA LEO
Wizi wa kura wa mara hii ulifurutu ada - Kaskazini Unguja | GUMZO LA LEO
ACT yaanza mchakato wa mahakamani | KILICHOJIRI OKTOBA
Uwezekano wa maridhiano upo wapi baada ya yote haya? | KILICHOJIRI OKTOBA 2025
Msingi wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ni uchaguzi huru na wa haki | TAHARIRI YA GUMZO
Othman Masoud, Hussein Mwinyi wahudhuria maziko ya Sheikh Sherali | GUMZO LA LEO
Dua ya watu wa Micheweni kwa OMO Ijumaa ya leo | GUMZO
OMO aendelea kuhimiza subira na dua kwa ajili ya Zanzibar | GUMZO LA LEO
KILICHOJIRI OKTOBA: Madudu ya Konde | ZANZIBAR YAAMUA
Hatukupeleka jina la Makamu wa Kwanza wa Rais kwa kuwa hakukuwa na uchaguzi - OMO | GUMZO LA LEO
Mawaziri wanawake walishiriki wizi wa kura Zanzibar - OMO | GUMZO LA LEO
Wete yampokea OMO kwa shangwe leo | GUMZO LA LEO
KILICHOJIRI OKTOBA: Mchafukoge wa Micheweni | ZANZIBAR YAAMUA