Electronics Repair Class TZ
Karibu kwenye Electronics Repair Class TZ! Hapa tunakufundisha jinsi ya kurekebisha simu, kompyuta, na vifaa vingine vya kielektroniki. Jiunge nasi ujifunze ujuzi huu muhimu na uwe fundi mtaalamu!". Usisahau kusubscribe na ubonyeze alama ya kengele ili usikose video zetu mpya!
Matengenezo yetu yanahusisha vifaa kama,
SIMU 📱
KOMPUTA 💻
PRINTER 🖨️
NA
PHOTOCOPY MACHINE 🖨️🖨️
🔗 Electronics Repair Class.TZ "tunajali na kudhamini kifaa chako".🙏👉🔔
Mawasiliamo📞📱
Whatsapp number
+255693545923
For business only.
Jinsi ya kutatua tatizo la sim kushindwa kupandisha aslimia%/ kuchaji.
Je!? unasafishaje! sim ilioingia kwenye maji tazama hii video itakusaidia
Jinsi ya kutatua tatizo la Epison l 3210, l3110, l 3250 printer error
Jinsi ya kutatua tatizo la searching network kwa sim aina zote
Matengenezo ya wireless flash trigger ya camera isiyowaka tazama hapa
Jinsi ya kusovu tatizo la over battery temperature 🔋🌡️ kwa sim zote za batani.
iPhone Xs max tatizo la camera 📸 kutofanya kazi, tazama utatuzi wake.
Jifunze kufanya uchunguzi wa saketi ya sim kulifaham zatizo moja kwa moja
Jinsi ya kutegua SHOTI ⚡ kwenye simu kwa kutumia power supply adjustable.
Tatua tatizo la sim kutowaka kioo huku ikiwa on
Jinsi ya kubadili port ya system changer ya mini Wireless speaker 🔊
Weka taa yenye shoti ⚡⚡ dhibiti wezi, linda maeneo yako kwa ujuzi wako
Jinsi ya kutatua tatizo la sim kuandika no service na emergency only
Electronics repair class TZ! Tazama video zangu zenye mwanga angavu kwa simu na tabulet(kishikwambi)
Electronics repair class TZ! tazama video zangu zenye mwanga angavu kwa computer
Jinsi ya kutest sim kwenye power supply adjustable, kufunga connect ya swichi, mfuniki na protect
Jifunze jinsi ya kubadilisha touch screen ya kioo ya sim kubwa
Jinsi ya kupima system changer na kubadilisha kioo, LCD
Power supply adjustable imefika mjengoni sasa JYD APS3005D
Sim inayo chemka wakati wa matumizi njisi ya kutibu tatizo lake
Jinsi ya kupiga windows 10 kwa ulahisi
Jinsi ya kufungua na kufunga laptop yako kwa usalama
MATATIZO YA SIM ZA SAMSUNG A10s
TATUA TATIZO LA SIM KUWASHA TAA YA CHAJI BILA KIOO KUWAKA
VIPIMO MHIMU KATIKA MULTIMETER (ufafanuzi kamili juu ya matumizi ya multimeter)
VIFAA MHIMU KUWANAVYO FUNDI SIM NA COMPUTER
FUNDI SIMU, JINSI YA KUBADILI CONNECTOR MBOVI YA MKANDA WA KIOO
JINSI YA KUTIBU TATIZO LA SIM INAYO JICHAJI BILA KUWEKWA KWENYE CHAJA.
JINSI YA KUWEKA FENI KWENYE SABUFA, SABUFA YENYE FENI IMALA KWA MATUMIZI 👀!!.
JINSI YA KUPIMA TRANSFORMER,CONVERT AC TO DC VOLTAGE ⚡ KAZI YA TRANSFORMER NA BRIDGE RECTIFIER.