Minbar Shareef

Amani iwe juu yako (السلام)

Minbarshareef ni channel ya kiislamu yenye kuelimisha na kusambaza neno la Allah (s.w).
Yaliyomo katika Minbarshareef ni kulingana na Quran tukufu na Hadeeth sahih.

Minbarshareef na washirika wake hawatetei wala kukubali shughuli yoyote haramu kwa mtu yeyote au jamii.

ILANI YA HAKIMILIKI

Picha na Video: Video zote zinazotumiwa kwenye channel yetu zina leseni kwa Minbarshareef Media, na huruhusiwi kukata sehemu na kutumia katika video zako mwenyewe (bila ruhusa kutoka kwa mmiliki wa asili wa video au picha) Tafadhali wasiliana nasi kwa habari zaidi. lazima pia utafute ruhusa kutoka kwa mmiliki wa video kabla ya usambazaji wowote wakibiashara.