Chellah Pretty

Karibuni Sana kwenye channel hii Tumsifu Mungu kwa kuimba.

Hapa utapata Zaburi za kila jumapili pamoja na nyimbo tofauti za kumsifu Mungu.

Ruth Jelagat ndilo jina langu.

Mungu awabariki 🙏