Mash Tv

Karibuni katika chenel yetu hiii ya MASH TV, ambayo inaelimisha jamii kupitia filamu za maadili,qaswida na darsa mbalimbali pamoja na duwa na hata tiba za kisuna. Tunapatikana bububu kihinani unaweza kuwasiliana nasi kwa no +255717513191 au +255773950250
au kwa email madrasashoptv@gmail,com
tunapokea matangazo ya biashara yenye maadili katika dini yetu ya Kiislamu hivo karibuni sana na pia tembelea chanel yetu ingine ya madrasa shop tv online