Jifunze Kiswahili na Bi Mercy

Welcome to "Jifunze Kiswahili na Bi Mercy”: Learning Adventures"! Join us on an exciting journey as we explore the wonders of the Swahili language.🤩

Our YouTube channel is filled with fun and educational videos designed to help you or your child learn Kiswahili in an exciting way.🤩

Karibu kwenye "Jifunze Kiswahili na Bi Mercy”: Safari ya Kujifunza Kiswahili"! Jiunge nasi kwenye safari ya kusisimua tunapochunguza miujiza ya lugha ya Kiswahili. 😄

Channel yetu ya YouTube imejaa video za kufurahisha na za elimu zilizoundwa kuwasaidia kujifunza Kiswahili kwa njia ya kucheza. Kutoka hadithi zenye kuvutia hadi nyimbo zinazokwenda kichwani na michezo ya kushirikisha, tuna kila kitu!😄