KIPUNGUNI SDA CHURCH CHOIR
Kipunguni SDA Choir ni kwaya ya kanisa la Waadventista wa Sabato Kipunguni, Muziki ni sehemu ya Injili, Mungu ametupatia Sauti ili kupeleka Habari Njema za Ufalme wake kwa Watu wote. Huu ni ukareasa maaliumu kwa ajili ya Kubarikiwa na Nyimbo zetu, Mahubiri na Shughuli zetu mbalimbali. Usisahau Kusubscribe katika Ukurasa huu ili kuendelea Kubarikiwa.