JEY FILM TZ

"Karibu Jey Film – Kituo chako cha filamu fupi zenye hisia halisi, maisha ya kila siku, na uigizaji wa nguvu unaogusa moyo. Tunakuletea hadithi fupi zenye ujumbe mzito na wahusika wanaoishi kama wewe. Tafadhali subscribe uendelee kupata simulizi zetu kali!" kwa mawasiliano zaidi tucheki📸0615675899