Fursa Tu

Karibu kwenye Fursa Tu – Podcast ya Biashara, Uwekezaji na Mafanikio!

FURSA ni jukwaa mahsusi kwa ajili ya wajasiriamali, wawekezaji, na watu wote wanaotafuta njia halisi za kujenga maisha bora kupitia biashara na uwekezaji.

Kila wiki tunakuletea:
✅ Taarifa muhimu kuhusu fursa zilizopo Tanzania na Afrika
✅ Elimu ya biashara, fedha, na ujasiriamali
✅ Simulizi halisi za mafanikio ya wajasiriamali wa kawaida
✅ Mahojiano na wawekezaji na wataalam wa sekta mbalimbali
✅ Mbinu rahisi za kuanza biashara na kuikuza hatua kwa hatua

Lengo letu ni kukupa maarifa, hamasa na mwelekeo wa vitendo utakaoleta mabadiliko katika maisha yako ya kifedha na kibiashara.

🔔 Subscribe ili usikose fursa mpya kila wiki!
📲 Tufuate pia kwenye mitandao ya kijamii:
➡️ Instagram | Facebook | TikTok |
📩 Kwa mawasiliano au usimamizi nasi: +255 743 299 019