Maisha Bora TV

Joseph Petro ni musomi na mwana zuoni aliyebobea katika Mambo ya familia uchumi mafundisho ya Dini ndoa na Siasa. hivyo nitakuwa na wewe katika channel hii iitwayo Maisha Bora TV. karibu sana

Pia tutajadili mambo mbali mbali ya Huduma uchaguzi na maisha halisi ya Mtanzania .kuanzia Sasa tutaangalia pia siasa za Tanzania na East Africa kwa ujumla
Wasiliana nasi kupitia ±255 783588198 au ±255715588198

Vitabu ambavyo Joseph petro ameandika vimeleta mwamko mkubwa vitabu hivyo ni

1: Shinda Hofu Ishi kishujaa

2:Inuka miliki kula na kushiba

3:maombi ya nayojibiwa
wasiliana nasi ilikujipatia vitabu tajwa hapo juu