Nurul Kitab Wa Sunnah

Kutafuta ‘Ilmu ni faradhi juu ya kila Muislaam.

Chaneli Hii Iko kwa lengo La kueneza Kheri zinazohusiana na dini ya Kiislamu Kupitia Qur an na sunnah tena kwa ufahamu wa wema waliotangulia.