AFRICA CHILDREN CARE-ACC 🌍
Karibu sana kwenye Channel yetu ya Africa Children Care-ACC 👧👦
Channel hii ni mahususi kwa ajili ya MALEZI na MAKUZI YA WATOTO.
Hapa utapata mafunzo 📖, nyimbo 🎶, michezo ⚽, na mambo muhimu yanayohusu malezi na ustawi wa watoto barani Afrika 🌍 na hata mabara mengine.
✨ ACC – Ni Mwanga Kwa Ndoto za Kila Mtoto ☀️
------------------------
Welcome to Africa Children Care-ACC Channel 👧👦
This channel is dedicated to CHILDREN’S CARE and MINISTRY.
Here you will find teachings 📖, songs 🎶, games ⚽, and inspiring programs that focus on the growth, care, and spiritual development of children in Africa 🌍 and beyond.
✨ ACC – The Light of Every Child’s Dream ☀️
NGUVU YA IBADA YA FAMILIA, KATIKA KUJENGA IMANI YA MTOTO.
Mchezo wa Watoto
We believe that every child carries a unique purpose within.
USIMKATIE TAMAA MTOTO WAKO; ACHA MUNGU AISHANGAZE DUNIA KUPITIA WATOTO WAKO..
Karibu sana tujifunze pamoja kuhusu MALEZI NA MAKUZI YA WATOTO kila siku ya Jumanne na Alhamis.
ACC-CHARITY DAY SEASON TWO (02) KWA MSAADA WA BWANA TUMEFANIKIWA KUWAFIKIA WATOTO WENYE MAHITAJI.
ACC-CHARITY DAY SEASON TWO (02) Play | Celebrate | Give Back.
Psalm 147:5 "Great is our Lord and mighty in power; his understanding has no limit."
MADA: JE! NI SAHIHI MTOTO MDOGO KUSHIRIKI MEZA YA BWANA..?? MWL. SETEV KILAMVU
NAFASI YA BABA KATIKA MALEZI YA MTOTO. MWL. DALLU YUAJA
JE! MWALIMU WA WATOTO ANAMCHANGO GANI KATIKA UKUAJI WA MTOTO KIROHO..??
MADA:KANISA LINAMCHANGO GANI KATIKA KUHAKIKISHA MTOTO ANAFIKIA HATIMA BORA.
MADA:JE! MTOTO ANAPOZALIWA, ANAZALIWA AKIWA ANA DHAMBI AU HANA DHAMBI..?? (MTOTO ANA DHAMBI AU HANA)
MWL. STEVEN-AKICHAMBUA KWA KINA MADA (JE! UPI NI UMRI SAHIHI WA MTOTO KUOKOKA NA KUBATIZWA..??)
SHUKRANI
JE! KWA NAMNA GANI WATOTO WANAPUUZWA/WANAZUIWA KUMWENDEA YESU..?(Mathayo 19:14 Luka10:14 Marko 18:16
JE! NI UMRI UPI SAHIHI WA MTOTO KUOKOKA NA KUBATIZWA...??
Vipaji vya watoto-kwa mawasiliano zaidi+255745910597
Children Ministry Tanznaia
Children Ministry _Bungo
Yuaja Jonathan-TUNAMTAKA BWANA