BEROYA MISSION ADVENTIST CHOIR

Beroya Missioin Adventist Choir inapatikana Katoro Mkoa Geita,
Tunawakaribisha ndugu jamaa pamoja na marafiki katika kuombeana lengo ikiwa ni kukamilisha kazi ya injili tuliyotumwa na Mungu wetu ya kuhubiri injili kwa kila kiumbe Marko 16:15 -20

Contacts: +255760731492
:+255760731492