NAIPA FILMS

Karibu Naipa Films!
Sisi ni timu yenye ari ya watengenezaji wa filamu, wasimuliaji wa hadithi, na wabunifu wenye lengo la kutengeneza filamu zenye nguvu na ubunifu wa kipekee zinazogusa maisha halisi, hisia, na tamaduni. Dhamira yetu ni kuunda hadithi zinazohamasisha, kuburudisha, na kuunganisha watazamaji kutoka Tanzania na kwingineko.

Filamu na tamthilia zote kwenye chaneli hii ni kazi asilia za Naipa Films. Tunathamini ubunifu, ubora, na uhalisia katika kila kazi tunayounda.

Kama wewe ni mtengenezaji wa filamu, mwigizaji, au mbunifu wa maudhui na ungependa kushirikiana nasi au kujihusisha katika miradi yetu, usisite kuwasiliana nasi kupitia barua pepe ([email protected])
Call 0742722526

Tunakushukuru kwa sapoti yako — usisahau kujiunga (subscribe) na kushiriki kazi zetu ili kutusaidia kufikia hadhira kubwa zaidi.