MT. YOHANNE PAUL II KIBANGU

Zab. 33:1-3
"Shangilieni kwa sababu ya Mwenyezi-Mungu enyi waadilifu!
Msifuni Mwenyezi Mungu kwa zeze; mwimbieni kwa kinubi cha nyuzi kumi.
Mwimbieni wimbo mpya; pigeni kinubi vizuri na kushangilia"