KILIMO CHA KISASA TV

Kilimo Cha - YouTube Channel

Karibu kwenye Kilimo Cha, kituo chako bora kwa maarifa, mbinu, na habari mpya kuhusu kilimo. Tunalenga kuwasaidia wakulima na wapenda kilimo nchini Tanzania na kwingineko kwa:

Mbinu Bora za Kilimo: Jifunze mbinu za kisasa na za kiasili ili kuboresha mavuno yako.
Ufugaji wa Kisasa: Fuatilia mafunzo kuhusu ufugaji wa aina mbalimbali ya mifugo.
Masoko ya Mazao: Pata taarifa kuhusu (jinsi ya kupata) masoko bora kwa mazao yako.
Maendeleo ya Kilimo: Tunakuletea habari za teknolojia na uvumbuzi katika sekta ya kilimo.
Jiunge nasi kwa video za elimu na mahojiano na wataalamu mbalimbali wa kilimo. Usikose kubonyeza kitufe cha kujiunga ili upate taarifa za vipindi vipya kila wiki.

Kilimo Cha - Palipo na Mavuno, Hapaharibiki Neno!