KKKT KARIAKOO
Wamiliki ni Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Jimbo la kati, Usharika wa Kariakoo. Karibu sana na Bwana Yesu akubariki .Kwa huduma za kiroho na mawasiliano yote wasiliana na Mchungaji Joash Aila 0747444401
Owners; Kariakoo Parish, The Eastern and Coastal Diocese (ECD), Evangelical Lutheran Church in Tanzania (ELCT).
Email: [email protected].. contacts Senior Pastor REV. Joash Aila Tel 0747444401
''Tumia Uwezo Ulio nao Kufanya Mambo Makuu|KKKT KARIAKOO| Mwnj. Manase Elias Mpwayi
JIFUNZE KUTOKA KISA HIKI: Upendo Ushinda Hasira; Hadithi ya Majirani, Maharage na Kuku.
MAHUBIRI YA JUMAPILI IBADA YA PILI | KKKT KARIAKOO| Mch. Joash Ailla
Wanataka baraka za Mungu, lakini hawataki Neno la Mungu.
YESU NAKUPENDA U MALI YANGU..
KATIKA SHIDA YESU NDIO MWAMBA.. BILA YEYE WEWE NI KITU BURE.
NJOONI KWA MPONYA..REV. JOASH AILA
Sehemu ya Mahubiri Jumapili 19.10.2025
"IBADA YA MORNING GLORY | KKKT KARIAKOO | Mt Wilhard Mwanri.
MAHUBIRI YA JUMAPILI 12.10.2025
9-10-2025|IBADA YA MORNING GLORY|KKKT KARIAKOO|MT WILHARD MWANRI.
Mungu aliwapa waliyoomba, lakini ikawa kwa hasara yao..Omba kwa Hekima
Hakika hawa watoto wameweza! 👏 mwishoni… Huyu Deborah! anasema mistari zaidi ya kumi bila kusita.
NITUME MIMI..REV. JOASH AILLA
Mshahara haujaleta furaha, umeleta kitanda cha hospitali…Kila akipata Mshahara anaugua.
TAREHE 15-09-2025|IBADA YA MORNING GLORY|KKKT KARIAKOO|Mwl Emilian Katubayemo.
WAPENDWA MAHARUSI "BE WARNED" KUTAKUWA NA MABONDE NA MILIMA..
Bwana Asifiwe Wazazi wa maharusi; Waangalieni, Waongozeni, Wasaidieni ILA msiingilie ndoa zao.
Mahubiri ya leo Jumapili | KKKT Kariakoo
MAOMBI NI SILAHA
MAHUBIRI YA JUMAPILI: ULIMI UNACHOMA MSITU.. ULIMI unatangaza kilichoko moyoni.
05/09/2025 | IBADA YA MORNING GLORY KKKT KARIAKOO | Mwl. Goodluck Mushi
Mahubiri ya Jumapili : Majani Bila Tunda – Onyo Dhidi ya Unafiki
Kwa Yesu Kunalipa: Watakatifu wa Bwana, walioko duniani , wangesema kwa imani kuu: AMEN!
Mungu wangu Ni Shujaa -Rev Joash Aila.
IBADA YA KWANZA YA JUMAPILI | KKKT KARIAKOO | MCH. JOASH AILA
Ibada ilikuwa njema; tumebarikiwa sana na nyimbo.
ADUI ANATUMIA STYLE YA NYOKA ” Unakumbuka nyoka alivyomtokea Eva?- VITA YA NAFASI
Baba sikia Maombi ya huyu Binti..
Tulimuokoa binti aliyekuwa amefichwa kisimani kwa kutumia mbinu ya kivita.