HABARI KIGANJANI

TANZANIA KWANZA 🇹🇿

HABARI KIGANJANI imesajiliwa na mamlaka ya mawasiliano TANZANIA (TCRA)...

HABARI KIGANJANI, ni channel ya habari zoote, zilizofanyiwa upembuzi yakinifu kabisa kutoka katika vyanzo vya kuaminika vya habari zinazohusu Tanzania na nje ya Tanzania,tunajitahidi sana kutoa habari zetu kwa uwazi bila kupendelea wala kwa lengo la kuchafua upande wowote ule kisiasa na haijihusishi na shughuli zilizo kinyume cha sheria.

MUONGOZO: Wafuasi wetu (subscribers) {a}.Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake, {b}.HABARI KIGANJANI ina uhuru wa kufuta maoni yoyote yasiyo na maadili au yenye lugha chafu, {c}.HABARI KIGANJANI ina uhuru wa kumzuia mfuatiliaji aliyekiuka masharti asiweze kuona habari zetu au kuweza kuweka maoni, {d}.HABARI KIGANJANI haitahusika moja kwa moja na maoni yatolewayo na wafuasi wetu ikiwemo lugha zisizofaa n.k.

Kama bado huja-subscribe tafadhali fanya ku-subscribe na mshauri mwenzako pia

◻️SUBSCRIBE & STAY CONNECTED 🎧