MwamafupaTV -MWTv

MWAMAFUPATV (MWTv) Ni Television maalumu Kwa huduma ya Mafundisho ya neno la Mungu Maombezi Na Uponyaji yenye lengo la kuhudumia watu wa dini zote.
MWAMAFUPATV Hatufungamani na utaratibu wa dini yoyote au dhehebu lolote.

MSINGI WETU NI:
Yohana 1:12-13 Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake;
waliozaliwa, si kwa damu, wala si kwa mapenzi ya mwili, wala si kwa mapenzi ya mtu, bali kwa Mungu.

MWAMAFUPATV, jukumu letu ni kuhakikisha watu wanamjua Mungu na kuishi ndani ya msingi ya neno lake.
Ministry founder
Mwl. Boniface Mwamafupa.
+255769220278.