Umoja Online Tv

Karibu katika channel ya UMOJA ONLINE TV channel maalumu kwa ajili ya Jimbo Katoliki la Tunduru

Channel ambayo itakuletea habari na matukio yote ya Jimbo hili la Tunduru

ili uwe wa kwanza kupata habari na matukio tafdhali tunakuomba uSubscribe channel yetu kisha washa alama ya kengele kwa kufanya hivyo utakuwa umeungana nasi moja kwa moja kwa ajili ya kupata habari na matukio mbalimbali ya jimbo hili.