Injili Choir Moravian Kahama

INJILI CHOIR Moravian Kahama, ni kwaya ya Kiinjilisti iliyoko Mkoa wa Shinyanga, Wilaya ya Kahama Mjini. Nchini Tanzania.

Kupitia nyimbo zetu utajifunza,utaburudika na pia utaelimika, na kumjua Mungunu zaidi. Yote hii ni kwaaajili ya kuliinua
na kulitukuza jina lipitalo majina yote jina la "YESU KRISTO".

Utukufu, Sifa, Heshima na Utukufu ni Kwake yeye pekee. Na kazi hii ikawe kwa utukufu wake tu!

Usisahau Kulike, Share zaidi kusubscribe! Injili Ienee zaidi duniani kote. Asante na Ubarikiwe Sana.